Moja ya mambo yanayo tu cost wabongo ni swala la kufuata uepepo nikiwemo na mimi mwenywe, tunaangalia upepo unavumaje kwa sasa, tunaendesha project kwa kufuata upepo ulivyo.
KINACHO TUSUKUMA SANA NI HIKI
- Nimesikia inalipa
-Nimeambiwa inalipa
- Nimeona
- Jirani anafanya na inalipa
-Mbona kwa fulani anafanya
- Tumeshauriwa
-Tumehamasishwa
-Tumeaahidiwa
Pls achana kabisa na hizo story za hapo juu, kwa lolote lile fanya utafiti wako binafisi, google, na tafuta taarifa kokote kule zinako...
Jinsi biashara za kufuata mkumbo na upepo zinavyoathiri watu