Mimi ni kijana miiaka 27 muajiriwa nina uzoefu katika fani za accounting, sales na marketing nipo Dodoma.
Nishafanya biashara zangu binafsi nyingi tu ikiwa kilimo, restaurant na huduma za usafi maofisini na majumbani. Kwa sasa nina wazo la kuanzisha kipindi cha TV na magazine, vyote kwa pamoja au kwa awamu itategemea na execution plan tutakayo andaa. Magazine either iwe ya hard copy ama digital.
Sina uzoefu katika hili ila nishafanya research yake kwa muda wa kutosha tu na sasa nataka ku...
Nahitaji mshirika katika biashara