Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Kilimo cha zao la Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau

$
0
0
Heshima kwenu wakuu.

Ninaambiwa na watu kwamba kilimo cha tangawizi kinalipa sana kwa sababu soko la uhakika lipo na ni zuri.

Nimeshaelekezwa sehemu ambayo hili zao linakubali uzuri.

Ombi langu ni kwa wale wenye uzoefu na kilimo hiki wanipe A,B,C...zote kuhusu kilimo cha zao hili.

Ningependa kujua kuhusu gharama ninazoweza kukumbana nazo mpaka zao hili lifikie hatua ya kuvunwa toka shambani,thanks in advance.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>