Soko la Kunde, Mbaazi na Choroko
Wadau napenda kufahamu soko la mbaazi,kunde na choroko daresalamu maana ninampango nianze biashara hiyo kwa kununua choroko kutoka mtwara na kusafirisha dar naitaji mwenye ufahamu wa soko na hata...
View ArticleKilimo cha zao la Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau
Heshima kwenu wakuu. Ninaambiwa na watu kwamba kilimo cha tangawizi kinalipa sana kwa sababu soko la uhakika lipo na ni zuri. Nimeshaelekezwa sehemu ambayo hili zao linakubali uzuri. Ombi langu ni kwa...
View ArticleUshauri, kilimo cha kitunguu swaumu
Hello comrades Naomba ushauri kwa yeyote mwenye utaalamu au uzoefu wa hiki kilimo Baada ya kuona fursa kwenye kilimo cha vitunguu swaumu, nilishawishika kuanza kulima. Baada ya uchunguzi wa awali...
View ArticleMsaada: Nataka kuwa Mkulima
Za asubuhi ndugu zangu, natumaini mmeamka salama, Mimi ni kijana wa kiume nahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo nahisi ndo kitu ambacho kitanifanya nifikie malengo yangu, nimeajiriwa lakini kila...
View ArticleNimefarijika sana na site hii, naomba ushauri wa mazao ya muda mfupi Fukayosi!
Wakuu nimefarijika sana kutembelea site hii ya business! Mimi nimekuwa natembelea sana jukwaa la siasa na lazima niseme ukweli ilifika kipindi nikaachana na jamii forums. Leo nimefarijika sana kuja...
View ArticleSOKO LA MATIKITI
Habari zenu wana jukwaa mimi naomba mwenye experiences na soko la zao la matikiti mwezi saba au wa nane hua liko vip hasa kwa miji kama dar morogoro au dodoma ..kwa mwenye kujua naomba msaada wa ufaham...
View ArticleNafasi za uwakala kanda ya Ziwa
View attachment 335161 Tunatangaza nafasi za uwakala wa bidhaa za MGE ktk kanda ya ziwa, mkoa wa Kagera, Mwanza, na Mara. Bidhaa zetu ni mashine za kutotoleshea mayai za aina zote,spea za incubator...
View ArticleSoko la matikiti mwezi wa saba linakuaje Dar?
Habari zenu wana jukwaa mimi naomba mwenye experiences na soko la zao la matikiti mwezi saba au wa nane hua liko vipi hasa kwa miji kama Dar Morogoro au Dodoma. Kwa mwenye kujua naomba msaada wa...
View ArticleTajirika kwa kufuga kuku Weusi wa malawi wanaofaa kwa kutaga na nyama
Wanakua na kufikia uzito wa kilo 4 UJASIRIAMALI ni jambo jema katika mapambano dhidi ya umasikini, lakini pia ili kuweza kuwa mjasiriamali, yanahitajika maarifa ya ziada, ikiwamo ubunifu katika...
View ArticleMsaada wa kilimo cha umwagiliaji
Habari wadau, Nashukuru Mungu aliniwezesha kupa shamba la ekari 20 maeneo ya mtibwa morogoro. Kwa muda wa miaka 5 nimekuwa nikilima Kilimo cha kutegemea mvua niliwahi kupata mwaka juzi tu mazao kidogo...
View ArticleUfugaji Nyuki wa Kisasa
Wadau Wa Ufugaji Nyuki. Naombeni Ushauri Wa Kitalaamu Juu Ya Ufugaji Nyuki Na Uvunaji Wake Kwa Njia Za Kisasa. Pia Mnijuze Bei Ya Mzinga Mmoja Wa Kisasa Kwa Ajili Ya Kufugia Nyuki Ni TSh. Ngapi?
View ArticleGharama ya kutengeneza kisima Dar
Wana JF Naomba kama kuna anayefahamu gharama za kuchimba kisima kwa Dar anipe picha kamili,ikiwa nikuanzia kupima mkondo maji,Site ni Bunju karibu na mpiji natanguliza shukrani.
View ArticleJukwaa la Vijanav- Arusha
Mashirika yaliochini ya mwamvuli wa mtandao wa AgriProFocus, yanaandaa Jukwaa la vijana lenye lengo ya kuhamashisha vijana kuingia kwenye kilimo biashara kwa kuwakutanisha na fursa mbalimbali zilizoo...
View ArticleKumuasi mbwa (Castration)
Kumfanyia mbwa Castration (kumtoa mbegu) inasaidia mbwa kuwa mkali au ndio atakuwa mpole akiona mbwa wengi. Mwenye kujua na ambaye kashamuona mbwa mwenye kuasiwa anakuwaje Msaada please matusi ayaitajiki
View ArticleMaboga je Yanalipa?
Wandugu nataka kulima maboga.Nahitaji kujua zaidi kuhusu Kilimo hichi wakuu.
View ArticleKitomondo, kilimo gani naweza kufanya?
Habari ndg wanajamiiforum, Nani anapajua Kitomindo vizuri? Na je mazao gani yanastawi maeneo yale kando mto Ruvu? Mwenye idea anieleze jamani nimechoka kukaa town naangaika na ajira za kubembelezana na...
View ArticleUshauri kuhusu kuku anayetaga mayai zaidi ya 1 kwa siku!
Wakuu ninahitaji kuku wanaotaga mayai zaidi ya moja kwa Sikh,kuna mtu alinipa contact lakini nikapoteza cm,
View ArticleBiashara ya upandaji wa miti ya mbao
Mimi nigependa kuwahamasisha wanJF kupanda miti ya mbao hasa mbao nyeupe (pines and cypress). Miti hii inasitawi sana sehemu za nyanda za juu kusini. Mimi nilianza kupanda miti hii kama miaka kumi...
View ArticleRafiki yangu amesoma kilimo anatafuta kazi
kwa yeyote ambaye anaweza kumsaidia amehitimu certificate ya kilimo namba yake ni 0752510642, nataguliza shuranni zangu.
View ArticleNatafuta shamba kwa ajili ya ufugaji kuku
Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa Dar, Arusha, Moshi, Pwani(Ruvu) Tanga, Moro hata Singida, sehemu moja wapo. Kama lipo mniambie na gharama za kukodi, nahitaji...
View Article