Habari wadau,
Nashukuru Mungu aliniwezesha kupa shamba la ekari 20 maeneo ya mtibwa morogoro. Kwa muda wa miaka 5 nimekuwa nikilima Kilimo cha kutegemea mvua niliwahi kupata mwaka juzi tu mazao kidogo ya kuridhisha. Mwaka Jana nililima sikupata pia mwaka huu hadi naandika hii habari mvua zimegoma mimiea imenyauka kiufupi mtaji wangu umekufa kabisa Mazao ambayo huwa nalima ni ufuta, mahindi na alizeti.
Msaada ninao hitaji kwa sasa kama kuna taasisi yeyote au kampuni ambayo inaweza...
Msaada wa kilimo cha umwagiliaji