Wanakua na kufikia uzito wa kilo 4
UJASIRIAMALI ni jambo jema katika mapambano dhidi ya umasikini, lakini pia ili kuweza kuwa mjasiriamali, yanahitajika maarifa ya ziada, ikiwamo ubunifu katika kuboresha shughuli unazozifanya ili ziwe na tija.
Nilipomtembelea kijana Peter Kitembe nyumbani kwao Mburahati Jijini Dar es Salaam, aliniambia anamiliki kampuni ya kifamilia iitwayo Peace Poultry Farm, ambapo alinisimulia kilichomsukuma kuingia katika ujasiriamali wa kufuga kuku wa...
Tajirika kwa kufuga kuku Weusi wa malawi wanaofaa kwa kutaga na nyama