Mashirika yaliochini ya mwamvuli wa mtandao wa AgriProFocus, yanaandaa Jukwaa la vijana lenye lengo ya kuhamashisha vijana kuingia kwenye kilimo biashara kwa kuwakutanisha na fursa mbalimbali zilizoo kwenye sekta hii.
Jukwaa litafanyika tarehe 14 Aprili 2016 jijini Arusha litakaloambatana na ziara ya mafunzo ya kilimo cha mbogamboga na ufugagi wa kuku. Pata maelezo zaidi hapa
Ilikushiriki, tafadhali jaza...
Jukwaa la Vijanav- Arusha