Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Natafuta shamba kwa ajili ya ufugaji kuku

$
0
0
Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa Dar, Arusha, Moshi, Pwani(Ruvu) Tanga, Moro hata Singida, sehemu moja wapo.
Kama lipo mniambie na gharama za kukodi, nahitaji msaada wenu, maana hapa naandika project upatikanaji wa eneo ndo unazingua, tusaidiane hatushindwana hata kwa soda.

Kuku hao ni wa kienyeji na kisasa, kiasi cha shamba ni heka moja au mbili.

Asante

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>