Habari zenu wana jukwaa mimi naomba mwenye experiences na soko la zao la matikiti mwezi saba au wa nane hua liko vip hasa kwa miji kama dar morogoro au dodoma ..kwa mwenye kujua naomba msaada wa ufaham jibu lako litakua mwanga kwangu ..
↧