Jukwaa la Vijana- Arusha
Mashirika yaliyochini ya mwamvuli wa mtandao wa AgriProFocus, yanaandaa Jukwaa la vijana lenye lengo ya kuhamashisha vijana kuingia kwenye kilimo biashara kwa kuwakutanisha na fursa mbalimbali zilizoo...
View ArticleJe, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa...
NEW, NEW, NEW, NEW.. TAREHE; 14 DISEMBA 2015. SOMO LA NNE (4) . Denguwe/Kanitangaze/Tuta Absoluta LEO TUTAJIFUNZA KWA KIFUPI KUHUSU MDUDU AITWAYE DENGUWE/KANITANGAZE/TUTA ABSOLUTA KIASILI/KIHISTORIA...
View ArticleUshauri, kilimo cha kitunguu swaumu
Hello comrades Naomba ushauri kwa yeyote mwenye utaalamu au uzoefu wa hiki kilimo Baada ya kuona fursa kwenye kilimo cha vitunguu swaumu, nilishawishika kuanza kulima. Baada ya uchunguzi wa awali...
View ArticleNahitaji msaada wa mawazo gharama za kununua mashine ya kukoboa na kusaga nafaka
Asalaam wanaJf, muda mrefu nimekuwa na wazo la kuanzisha mradi unaohusiana na nafaka. Kwa sasa wazo lililotawala kichwa changu ni kununua mashine inayotumia umeme ya kukoboa na kusaga nafaka....
View ArticleBiashara ya kusaga, kupack na kusambaza unga
Wadau. Nimeisha anza mchakato wa hiyo kitu kwa maana ya jengo ambayo mi nimeiita phase one sasa ndo najipanga kuezeka. Phase two ni kununua machines ambazo ni full set kusaga na kukoboa pamoja na...
View ArticleMashamba yanauzwa Morogoro
Nauza shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni
View ArticleUfugaji wa Nguruwe: Utaalam na Masoko
View attachment 324772 - Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,...
View ArticleKilimo cha Mihogo(Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake
Wakuu, Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi. Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo yafuatayo: 1....
View ArticleNaombeni ushauri kuhusu Biashara na Kilimo cha bustan ya mboga majani
Moja ya kitu kinachohitajika sana na wakazi wa mijini na vijijini ni mboga za majani (green vegetables) kama chinese, figili, mchicha, mnafu, mboga za maboga, matembele nk. Mboga za majani zinahitajika...
View ArticleNatafuta nyanya za greenhouse
Habari zenu. Jamani kama kuna mkulima wa nyanya za green house au kuna anayejua mkulima wa nyanya izo naomba tuwasiliane kwa PM. Nipo Dsm. Asanteni
View ArticleKuku aina ya kuchi
Wadau nahitaji kuwafahamu kwa undani hawa kuku aina ya kuchi maaana wanauzwa ghali sana.nahitaji kufahamu jinsi ya kuwafuga na soko lake Likoje?
View ArticleSoko la viazi vitamu Dar es Salaam
Wakuu na wadau wa kilimo.. Ningependa kuelewa soko la VIAZI vitamu Dar es salaam likoje. Mara nyingi zao hili linalimwa na kuvunwa kwa msimu hasa miezi ya kiangazi, je soko lake nalo ni kwa msimu au ni...
View ArticleKwanini uwe masikini? Tajirika kwa Kilimo Cha Green House
KWA NINI UWE MASKINI? JE, UNGEPENDA KUVUNA NYANYA NYINGI KILA WIKI NA KUJIPATA KIPATO KIKUBWA KUPITIA KILIMO CHA GREEN HOUSE? View attachment 165705 Team ya "AMKA NA BADILIKA" ya CONSNET GROUP...
View ArticleUfugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania
Kutokana na ongezeko la maswali ya wadau wengi juu ya ufugaji wa kuku aina hii, tumeonelea ni vema tukauweka mjadala huu vema kuweza kuwasaidia wafugaji na wanunuaji wa vifaranga/kuku wa aina hii. Kuku...
View ArticleNAOMBA KUJUA UFUGAJ WA NG
Habar wapendwa Samahan naomba kujua ufugaji wa ngurue na malazi yao mkubwa na matibabu ya. Pamoja na ufugaji wa kuku wakienyeji yaaan jinsi ya kumnyang`ang`a vifaranga vikiwa vina umri gani naitwa moi...
View ArticleMsaada wa ushauri kuhusu kilimo cha mapapai na mbogamboga
Wanajanvi habari zenu, nina ndugu yangu anataka kuanzisha kilimo cha kisasa cha mboga mboga na matunda hasa mapapai, ameshaanza kuchimba kisima kirefu kwa ajili ya umwagiliaji, swali langu ni kuomba...
View ArticleUfugaji na kilimo unalipa sana
Wana JF, Nimeona mm pia nitoe testimonial kwa faida ya wajasiriamali wanaopenda kilimo na ufugaji. Ndoto yangu imekuwa kutafuta ujasiriamali utakaoniwezesha kuachana na ajira at 40 yrs. Baada ya...
View ArticlePata ushauri wa kitaalam juu ya kilimo cha Mapapai
Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo 1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa? 2....
View ArticleKilimo cha choroko na masoko yake
Choroko ni moja ya mazao ya jamii ya mikunde hustawi eneo lenye mwanga wa kutosha pamoja na udongo wa tifutifu.pia masoko yake ni mazuri mfano kwa masasi 1300-1500@kg 1 .hivyo vijana tujishughulishe...
View ArticleMsaada wa ufugaji wa bata wa kienyeji
Wadau mwenye utaalamu na ufugaji wa ndege (bata kienyeji) tupeane utaalamu huo!
View Article