$ 0 0 Wadau nahitaji kuwafahamu kwa undani hawa kuku aina ya kuchi maaana wanauzwa ghali sana.nahitaji kufahamu jinsi ya kuwafuga na soko lake Likoje?