Mashine ya kumwagilia ile ya kurusha maji juu....
Wadau nalima tikiti maji kanda ya ziwa..ziwani kabisa nategemea kiwe cha umwagiliaji ....heka tatu...changamoto iliyopo namwagiliaje ....water pump ya kawaida naona itakuwa kazi sana.....nimewaza ile...
View ArticleNaomba kujua kuhusu ufugaji wa nguruwe
Habari wapendwa Samahan naomba kujua ufugaji wa nguruwe, malazi yao na matibabu yao. Pia na ufugaji wa kuku wa kienyeji yaani jinsi ya kumnyang`anya vifaranga,na je nifanye hivo vikiwa vina umri gani?...
View ArticleNailoni za green house
Wakuu habari zenu Naomba kujuzwa eti zile nailoni za green house pale Arusha wanaziuzaje.
View ArticleMsaada wa Vifaranga vya Kuku wa Mayai
Wadau, Salaam, Naomba msaada wa jinsi ya kupata vifaranga vya kuku wa mayai. Mimi nipo Dar Es Salaam, natanguliza shukrani za dhati.
View ArticleHawa ng'ombe wanapatikana mkoa gani?
Wakuu natafuta ng'ombe kama hawa kwa ajili ya mradi wangu wa ufugaji, ila sijui naweza kuwapata wapi Tanzania. View attachment 338794
View ArticleMsaada: Kilimo cha matikiti maji
wana JF kwanza poleni na shughuli za kimaisha za kila siku.....bila kupoteza muda mimi ni kijana sasa nataka nijikite katika kilimo na kwa kuanzia nataka nilime MATIKITI MAJI kibada nimepata shamba la...
View ArticleMsaada kuhusu kilimo cha Pilipili
Ninaomba mtu anayejua kuhusu hili zao anipe details zote kuhusu ili zao kama misimu capital faida challenges na kama eneo la Ruvu linafaa kwa hiki kilimo, madawa n.k kwasababu ningependa kufanya hiki...
View ArticleShule ya kilimo na ufugaji.
Wakuu habari za wakati. Natumaini mko vzr na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Naomba niende kwenye point. Naomba kujumuishwa kwenye group yoyote ya whatsap inayotoa shule (elimu) kwa habari...
View ArticleNatafuta Maharage aina ya Green mung beans,maharage ya kijani
Natumai mpo wazima wote, nahitaji maharage ya kijani yanaitwa Green Mung Beans,kama unayo tafadhali nitajie bei kwa Metric Tonne ,na sehemu ambako upo na hayo maharage,na uwezo wako wa kuweza ku-...
View ArticleBenki ya Kilimo yajizatiti kusaidia upatikanaji wa Masoko nchini
View attachment 333596 Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imedhamiria kusaidia upatikanaji wa Masoko ili kuongeza Mapinduzi yenye tija katika Sekta ya Kilimo nchini ili kuchagiza na kusaidia...
View ArticleWindmill waterpump kwa kilimo na ufugaji wa samaki
Ni pamp inayo faa kwa kilimo na ufugaji wa samaki kwani ina uwezo wa kuvuta maji kwa kiwango kikubwa hadi lita 800 kwa dakika . Namb 0657 139511/0768092950
View ArticleNtawezaje kutoa vyura kwenye ndimbwi la Samaki?
Wana JF; Habari ya asubuhi kama ilivyo heading hapo juu; mimi ni mfugaji wa samaki kwa kutumia ndimbwi la samaki hapa nyumbani; kwa bahati mbaya kwenye dimbwi hilo la samaki vyura wameingia na wameanza...
View ArticleTunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki
Ushauri, Utengenezaji wa mbwawa ya samaki, chakula cha samaki. >Kwa kupata huduma hizo tutafute kwa namba ya simu-0714420808
View ArticleMashine ya kumwagilia isiyotumia umeme
wanajamvi habarini.. nimeanzisha bustani ya mbogamboga ila changamoto nnayoipata ni katika umwagiliaji kwani maji ya kumwagilia nayachota kisimani (bustani inahitaji kama ndoo 100 kwa siku). hivyo...
View ArticleKilimo cha Pilipili Hoho
Habari wana waungwana? Naomba muongozo wa kilimo cha pilipili hoho kwa wenye uzoefu. Asanteni =============================== baraka607 said: ↑ Nna mchakato ambao nilipata wakati niko Kenya kwenye...
View ArticleMaji yenye chumvi na kilimo cha umwagiliaji
Naomba msaada wa mawazo. Nimenunua shamba eneo ambalo nimefanya utafiti nikagundua underground water iko karibu sana. Mpango wangu ni kuchimba kusima kwa ajili ya kufanya irrigation farming. Nimegundua...
View ArticleMtaji wa milioni moja unatosha kufungulia duka la vitu vidogo vidogo?
Nina milioni moja na nusu kwa mtaji huu naweza kufungua duka la vitu vidogovidogo vya nyumbani? Na je inalipa, msaada plz
View ArticleMsaada kuhusu kilimo cha njegere!!!
Ndugu zangu naombeni msaada kuhusu kilimo cha njegere, upatikanaji wa mbegu, changamoto zake - magonjwa, madawa, na inahitaji kiasi gani cha mvua, aina ya udongo n.k
View ArticleNafasi za uwakala kanda ya Ziwa
View attachment 335161 Tunatangaza nafasi za uwakala wa bidhaa za MGE ktk kanda ya ziwa, mkoa wa Kagera, Mwanza, na Mara. Bidhaa zetu ni mashine za kutotoleshea mayai za aina zote,spea za incubator...
View ArticleWakulima wa Matunda wanahitajika
Wadau habari zenu. Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara itakayo hitaji ushirikiano na wakulima wa matunda aina mbali mbali kama vile; Maembe mananasi tikiti maji strawberries blueberries ndizi...
View Article