Kubota yupo wapi??
Mh Kubota upo wapi ndugu. Wewe ni mtu muhimu sana kwenye jukwaa letu hasa kwa kutufunua akili na kutupa mbinu za ufugaji wa kuku wa kienyeji. Naomba mods kama mna namna yeyote ya kumtress huyu mtu,...
View ArticleKILIMO CHA MATIKITI MAJI (WATERMELON)
Naomba msaada kuhusu kilimo cha Matikiti Maji (Watermelon) kwa kuzingatia maeneo yafuatayo:- - Mbegu - Upatikanaji wa mbegu - Upandaji - Aina ya mbolea - Madawa - Magonjwa - Uvunaji - Uuzaji - Faida ya...
View ArticleVipimo vya unyevu, humidity na joto temoerature, sasa vinapatikana mge
Vipimo vitakavyokusaidia kulinganisha joto la incubator yako,sasa vibapatikana ofisini kwetu mburahati barafu Dsm. Vipimo hivi vya joto na unyevu vimetolewa maalumu kubaini unyevu ba joto bdani ya...
View ArticleUandaaji na Uoteshaji wa Mbegu za Mitiki
Utangulizi Mbegu za mitiki zinapatikana Tanzania Tree Seed Agency wako Msamvu Morogoro.Kilo moja ya mbegu za mitiki inatosha kuotesha kwenye shamba la hekta moja, ambayo ni wastani... Uandaaji na...
View ArticleTUTUMIE TUTUMIE RASILIMALI YA GESI NA PETROLI KUINUA KILIMO
TUTUMIE RASILIMALI YA GESI NA PETROLI KUINUA KILIMO​ Kwanza tumshukuru mungu kwa kuwa tumezaliwa katika nchi nzuri ya Tanzania yenye amani na utulivu, nchi ambayo watu wake ni... TUTUMIE TUTUMIE...
View ArticleTutumie rasilimali ya gesi na Petroli kuinua Kilimo
TUTUMIE RASILIMALI YA GESI NA PETROLI KUINUA KILIMO​ Kwanza tumshukuru mungu kwa kuwa tumezaliwa katika nchi nzuri ya Tanzania yenye amani na utulivu, nchi ambayo watu wake ni... Tutumie rasilimali ya...
View ArticleNaomba kujua kuhusu ufugaji wa nguruwe
Habari wapendwa Samahan naomba kujua ufugaji wa nguruwe, malazi yao na matibabu yao. Pia na ufugaji wa kuku wa kienyeji yaani jinsi ya kumnyang`anya vifaranga,na je nifanye hivo vikiwa vina umri gani?...
View ArticleNimefarijika sana na site hii, naomba ushauri wa mazao ya muda mfupi Fukayosi!
Wakuu nimefarijika sana kutembelea site hii ya business! Mimi nimekuwa natembelea sana jukwaa la siasa na lazima niseme ukweli ilifika kipindi nikaachana na jamii forums. Leo nimefarijika sana kuja...
View ArticleBiashara ya Nguo za Mitumba
Habari wana Jamii! Niko US nataka sana kuanzisha biashara ya mitumba , ningependa kuuza marobota. Sasa basi kama kuna mwanaJamii anahusika na hii biashara ningependa kujua yafuatayo: - Robota la grade...
View ArticleNapataje kuku anayetaga mayai zaidi ya 1 kwa siku!?
Wakuu ninahitaji kuku wanaotaga mayai zaidi ya moja kwa Sikh,kuna mtu alinipa contact lakini nikapoteza cm,
View ArticleMashine ya kumwagilia ile ya kurusha maji juu....
Wadau nalima tikiti maji kanda ya ziwa..ziwani kabisa nategemea kiwe cha umwagiliaji ....heka tatu...changamoto iliyopo namwagiliaje ....water pump ya kawaida naona itakuwa kazi sana.....nimewaza ile...
View ArticleDawa za kuponya magonjwa sugu na yanayosumbua binadamu
Ndugu zangu habari zenu, napenda kuwatangazia kuwa kuna dawa, virutubisho pamoja na Pads za kutoa sumu mwili, baadhi ya magonjwa tunayotibu ni pamoja na: 1. PRESSURE (BP ) 2. KISUKARI 3. U.T.I 4....
View ArticleNatafuta soko la choroko Kanda ya ZIwa
Habari wakuu. Ninatafuta soko la choroko la uhakika au wanunuzi wa choroko wanaopatikana kanda ya ziwa, mimi niko Bariadi na nalima ekari sita za choroko, naomba pia mwenye ujuzi wa bei. Yaani kilo...
View ArticleKilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko
Jamani habarini za wikiendi, naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi...
View ArticleKilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau
KILIMO BORA CHA UFUTA Ufuta (sesamum indicum)ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya. Zao...
View ArticleKilimo cha matunda
Nataka kuanzisha KILIMO cha kisasa cha matunda aina ya passion je kwa waliolima hivi kinalipa?
View ArticleRed kidney Beans
30,000MT of Red Kidney Beans needed. Is there any Seller out there? PM with price and terms of sale
View ArticleNitapata wapi Tractor la kukodisha.
Nipo mwanza ninahitaji kutengeneza shamba la kama heka 3. Ningependa kulima kwa tractor. Wadau nisaidie hapa mwanza maeneo ya nyegezi tractor nitapataje?
View ArticleGerman shepherd anatafutwa
natafuta german shepherd wa ukweli...mdogo nitakae kua nae...breed ya ukweli....kama kuna mwenye contacts please nipatie.
View Article