Natafuta shamba kwa ajili ya ufugaji kuku
Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa Dar, Arusha, Moshi, Pwani(Ruvu) Tanga, Moro hata Singida, sehemu moja wapo. Kama lipo mniambie na gharama za kukodi, nahitaji...
View ArticleMayai ya kuku wa kienyeji yanapatikana
Mayai ya kuku wa kienyeji yanapatikana kwa wingi.Trei moja yenye mayai 30 tunauza shilingi za kitanzania elfu 15 tu.Agiza na uletewe popote ulipo ndani ya Dar es Salaam. 0788-407407
View ArticleKILIMO CHA MPUNGA
Hello... Khabar zenu wapendwa.. Nina shamba la ecre nne lipo bagamoyo.. Maji yake yanafika magotini.. Je linafaa kwa kilimo cha mpunga??.. Na je... Ni mbegu gan nitumie??..
View ArticleMakadirio ya mradi wa kilimo cha mpunga
Naomba ushauri jinsi ya kuanzisha shamba dogo la kilimo cha mpunga; maelezo yangu ya awali ni kama ifuatavyo lengo ni kujiongezea kipato eneo ni eka 2.5 aina ya mbegu : za muda mfupi zinazonukia , kwa...
View ArticleZijue Mbinu zangu: Ufugaji Kuku wa Kienyeji
Wana Jf, Kuna maandiko mengi JF ya ufugaji Kuku wa Kienyeji! Nawasilisha kwenu wadau wa JF mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! Nimeandika kuwalenga...
View ArticleMvua ya Samaki huko Thailand, tazama picha.
View attachment 340989 View attachment 340990 View attachment 340988 View attachment 340987 Wataalam hivi inawezekana?
View ArticleNaweza kufanya kilimo cha mpunga kwenye shamba hili? Ushauri tafadhali
Hello... Khabar zenu wapendwa.. Nina shamba la ecre nne lipo bagamoyo.. Maji yake yanafika magotini.. Je linafaa kwa kilimo cha mpunga??.. Na je... Ni mbegu gan nitumie??..
View ArticleNi kwa wafugaji/wanaotaka kuanzisha mradi wa ufugaji kuku
Ndugu wana jamii forum, sasa ni wakati wa kuacha kulalamika, tunapaswa kujituma na kupiga kazi kwa bidii. Vijana graduates kutoka vyuo mbalimbali tuwaze zaidi kwenye kujiajiri kuliko kuajiriwa,...
View ArticleNapataje kuku anayetaga mayai zaidi ya 1 kwa siku!?
Wakuu ninahitaji kuku wanaotaga mayai zaidi ya moja kwa Siku,kuna mtu alinipa contact lakini nikapoteza simu.
View ArticleListi ya fursa za biashara na miradi mbalimbali nchini Tanzania
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/Database: Katika... Listi ya fursa za...
View ArticleMichungwa inayoweza kuzaa machungwa 4000 kwa kila mchungwa
habari wanaJF Nashkuru muda mrefu umepita tangu nitoe thread yangu ya kuhusu kilimo cha michungwa inayojulikana kwa "tathmini ya mapato ya michungwa" Nimekua nikipokea simu na message na e-mail kutoka...
View ArticleMsaada wa taarifa za mashamba ya kukodi Ruvu
Wadau naombeni mnipe mustakabali naitaji kufanya ujasiriamali wa kilimo , Ruvu ni sehemu watu wanalima sana hasa hizi mboga mboga na matikikti je kuna mtu anaweza nipa contact za mwenyeji mmoja...
View ArticleMsaada: Nataka kukodi mashamba ruvu
Wakuu nataka kufanya ujasiliamali wa kilimo , ila sina mwenyeji ruvu nataka kuanza na kukodi shamba ili nilime tikiti maji na mboga mboga any idea zitakazosaidia , Contact za mwenyeji yoyote kule asanteni
View ArticleMazao ya kulima kwa mkoa wa Kilimanjaro
Habari, waheshimiwa naomba msaada kwa wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro natarajia kuhamia mkoani humo kwenye mwezi wa 5. Naomba kujua mazao yanayolimwa katika mkoa huo pamoja na upatikanaji wa mashamba....
View ArticleNatafuta eneo la kuweka car wash - dar es salaam
Habari za leo wana JF! Mimi na mwenzangu tunataka kuanzisha biashara ya Car Wash, tayari tumeagiza vifaa na vitakuwa nchini mapema mwezi February au March. Bado tunahangaika kupata eneo kwa ajili ya...
View ArticleNatafuta mshauri wa kilimo hapa DSM tutalipana kwa makubaliano maalum
HELO HABARI WAJASIRIAMALI WENZANGU Nataka kuanza kilimo cha mazao kadhaa especialy ya matunda kama maembe, mapapai na ya mboga mboga kama bamia, pilipili, nyanya etc sasa sitaki kutumia kilimo cha...
View ArticleMsaada: Jinsi bora ya kutunza na kusindika maziwa ya ng'ombe
Wakuu nahitaji kujua njia ya kisasa au yoyote ile ya kutunza maziwa Fresh ya ng'ombe kienyeji bila kuharibika. msaada tafadhali
View ArticleANAYEFAHAMU KILIMO CHA MTI WA MWAROBAINI KAMA MTI WA MBAO TUKUTANE HAPA
Nina Shamba la hekari 20 kilosa morogoro nataka kulima mwarobaini Kama mti wa mbao mwenye uelewa karibu tuchangiane mawazo. Nawasilisha
View ArticleJinsi ya kutengeneza dawa ya chooni 'Jasimini"
Heshima kwenu wadau. Naomba masada wenu kama kuna yeyote anayejua jinsi ya kutengeneza JASIMINI ile ya kusafishia chooni. _natanguliza shukrani
View Article