Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Natafuta mshauri wa kilimo hapa DSM tutalipana kwa makubaliano maalum

$
0
0
HELO HABARI WAJASIRIAMALI WENZANGU

Nataka kuanza kilimo cha mazao kadhaa especialy ya matunda kama maembe, mapapai na ya mboga mboga kama bamia, pilipili, nyanya etc sasa sitaki kutumia kilimo cha kubahatisha, nahitaji mtu mtaalamu ambae atanishika mkono kuanzia ushauri wa mazao yanayolipa vizuri na mpaka magonjwa mpaka soko, then tutalipana kutokana na makubaliano maalumu.

Naamini baada ya msimu mmoja nitakuwa kwenye position nzuri ya kuendelea mwenyewe kwa kiasi fulani. Tafadhali mwenye...

Natafuta mshauri wa kilimo hapa DSM tutalipana kwa makubaliano maalum

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>