Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Natafuta eneo la kuweka car wash - dar es salaam

$
0
0
Habari za leo wana JF!

Mimi na mwenzangu tunataka kuanzisha biashara ya Car Wash, tayari tumeagiza vifaa na vitakuwa nchini mapema mwezi February au March. Bado tunahangaika kupata eneo kwa ajili ya kuweka hiyo biashara! Naombeni kama kuna mtu mwenye taarifa ya kuniwezesha kupata eneo kwa ajili ya kukodi ani-PM au anipe inipe info niwasiliane naye! Maeneo tunayopendelea ni haya:-
  1. Sinza
  2. City Centre (Maeneo ya Posta, Kariakoo, Upanga)
  3. Bagamoyo Road (Morocco, Victoria,...

Natafuta eneo la kuweka car wash - dar es salaam

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>