$ 0 0 Wakuu ninahitaji kuku wanaotaga mayai zaidi ya moja kwa Siku,kuna mtu alinipa contact lakini nikapoteza simu.