Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live
↧

Jinsi ya kugandisha maziwa ya mgando ili yasitengane na maji

Waungwana habari za leo. kwa wale wafugaji wa ng'ombe na wajuzi wa maziwa, naomba kujulishwa njia nzuri ya kugandisha maziwa ambayo hayatajitenga na maji. kwa sasa nagandisha maziwa kwa kuyachemsha afu...

View Article


Nitumie viuatilifu gani kupalilia mahindi?

Wakuu habar za jioni! nahitaji msaada wa dharura kwa wenye uzoefu. Naomba kujulishwa ni aina gani ya kiuatilifu naweza tumia kupalili mahindi ambacho kinaangamiza ndago na nyasi?, nilitumia 2,4 D...

View Article


Kilimo cha umwagiliaji

Wanajamvi Habari za mihangaiko ya kupambana na maisha. Naomba msaada wa taarifa ninapoweza kupata drippers kwa ajili ya Kilimo cha bustani eneo la ekari mbili

View Article

Msaada juu ya mbegu za mahindi,

Habari zenu wakuu, naomba kupata muuongozo juu ya swala lifuatalo, shambani kwangu nimefunga mfumo wa umwagiliaji kwenye hekari moja na makusudio yangu ilikuwa ni kupanda tikitimaji ila niliingia hofu...

View Article

Ninawezaje kupata TRADEMARK ya logo yangu

Wakuu naombeni mnisaidie utaratibu wa kuweza kupata trademark ya logo yangu pale Brela.kwa mtu yeyote anaweza kuniambia procedure za kupata trademark maana nimeenda brela naona wananizingua tu

View Article


Nitapata wapi Tractor la kukodisha.

Nipo mwanza ninahitaji kutengeneza shamba la kama heka 3. Ningependa kulima kwa tractor. Wadau nisaidie hapa Mwanza maeneo ya Nyegezi tractor nitapataje?

View Article

Njoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja

Habari wakuu....... Itifaki imezingatiwa! Rejea kichwa hapo juu! Nianze na swali hili hivi ni biashara gani au kwa kiwango gani au kwa plan gani mfanyabiashara anaweza kurtengeneza pesa hiyo kuanzia...

View Article

Ushauri kuhusu kilimo cha mpunga

Nahitaj ushaur wenu.. . Ni shamba la ekari ngap naweza kutoa gunia 100 la mpunga au gunia 90 za mchele??

View Article


Hawa ng'ombe wanapatikana mkoa gani?

Wakuu natafuta ng'ombe kama hawa kwa ajili ya mradi wangu wa ufugaji, ila sijui naweza kuwapata wapi Tanzania. View attachment 338794

View Article


Benki ya Kilimo yajizatiti kusaidia upatikanaji wa Masoko nchini

View attachment 333596 Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imedhamiria kusaidia upatikanaji wa Masoko ili kuongeza Mapinduzi yenye tija katika Sekta ya Kilimo nchini ili kuchagiza na kusaidia...

View Article

Ni mashine ipi nzuri kwa umwagiliaji?

Habari zenu ndugu wapiganaji wenzangu!! Nataka kununua mashine kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji, naomba ushauri wenu ni mashine ipi itanifaa..na pia ni vitu gani ambavyo inabidi niviangalie kabla ya...

View Article

Mradi wa utotoleshaji wa vifaranga unalipa

Kampuni yetu ya KINASORU EAST AFRICA (T) LTD iliitwa kwa ajili ya kumshauri mheshimiwa mmoja ambaye alikuwa na wazo la kufuga kuku wa asili walioboreshwa kama sehemu ya kazi yake ya ziada. Alitaka...

View Article

Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na masoko

Wakuu salamu. Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji....

View Article


Unataka kuwa tajiri? - Mwongozo kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji

Pengine umekuwa ukiwaza sana nini ufanye ili uweze kufanikiwa na kuondokana na adha za umaskini. Yako mambo mengi ya kufanya mimi nataka kukufungua macho kwa jambo moja tu tena kwa uchache. Jambo hili...

View Article

Kilimo na Soko la Bamia

Mwenye kufahamu ufanisi wa hiki kilimo atujuze mambo yafuatayo: 1) Mbegu bora zinapatikana wapi? 2) Zinachukua muda gani kukomaa? 3) Masoko yake yako wapi? 4) Bei ya kuuza inakwendaje? Asanteni.

View Article


Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Habari za asubuhi. Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya...

View Article

Wakulima wa Matunda wanahitajika

Wadau habari zenu. Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara itakayo hitaji ushirikiano na wakulima wa matunda aina mbali mbali kama vile; Maembe mananasi tikiti maji strawberries blueberries ndizi...

View Article


Shamba linauzwa

Wanajamvi napenda kuwajulisha kwamba, kwa wale wanaopenda kutumia fursa ya kilimo (kuwekeza katka kilimo) lipo shamba linauzwa kwa bei rafiki ya shilingi 400000 za kitanzania kwa kila heka moja. Shamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msaada wa ushauri unatosha kuniokoa katika hili

Habari za majukumu wapendwa! Nahitaji kupata ushauri wenu wa kimawazo nimenunua eneo dogo tu lenye urefu wa mita 54 na upana wa mita 24 nahitaji kufanya kilimo cha kisasa cha mbogamboga au matunda eneo...

View Article

Biashara ya upandaji wa miti ya mbao

Mimi nigependa kuwahamasisha wanJF kupanda miti ya mbao hasa mbao nyeupe (pines and cypress). Miti hii inasitawi sana sehemu za nyanda za juu kusini. Mimi nilianza kupanda miti hii kama miaka kumi...

View Article
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live