Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Msaada wa ushauri unatosha kuniokoa katika hili

$
0
0
[​IMG]Habari za majukumu wapendwa! Nahitaji kupata ushauri wenu wa kimawazo nimenunua eneo dogo tu lenye urefu wa mita 54 na upana wa mita 24 nahitaji kufanya kilimo cha kisasa cha mbogamboga au matunda eneo liko na maji ya kutosha kwa muda wa mwaka mzima plz wenye kuwa na ushauri naomba ushauri wenu nini nifanye katika eneo hili ili niweze kujiingizia kipato,eneo nililopo ni Serengeti mkoa wa Mara kuhusu...

Msaada wa ushauri unatosha kuniokoa katika hili

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>