Wanajamvi napenda kuwajulisha kwamba, kwa wale wanaopenda kutumia fursa ya kilimo (kuwekeza katka kilimo) lipo shamba linauzwa kwa bei rafiki ya shilingi 400000 za kitanzania kwa kila heka moja. Shamba hilo lipo mkoani morogoro wilaya ya mvomero tarafa ya turiani, pia lipo kando kidogo na mto wami kwa maana kwamba uwezekano wa kufanya kilimo cha umwagiliaji upo. Shamba lipo km almost 25km kutoka turiani madizini sawa na mwendo wa dk 50 kwa pikipiki. Kwa maelekezo zaidi tunaweza wasiliana kwa...
Shamba linauzwa
Shamba linauzwa