Red kidney Beans
30,000MT of Red Kidney Beans needed. Is there any Seller out there? PM with price and terms of sale
View ArticleWindmill waterpump kwa kilimo na ufugaji wa samaki
Ni pamp inayo faa kwa kilimo na ufugaji wa samaki kwani ina uwezo wa kuvuta maji kwa kiwango kikubwa hadi lita 800 kwa dakika . Namb 0657 139511/0768092950
View ArticleSoko la Kunde, Mbaazi na Choroko
Wadau napenda kufahamu soko la mbaazi,kunde na choroko daresalamu maana ninampango nianze biashara hiyo kwa kununua choroko kutoka mtwara na kusafirisha dar naitaji mwenye ufahamu wa soko na hata...
View ArticleKumuasi mbwa (Castration)
Kumfanyia mbwa Castration (kumtoa mbegu) inasaidia mbwa kuwa mkali au ndio atakuwa mpole akiona mbwa wengi. Mwenye kujua na ambaye kashamuona mbwa mwenye kuasiwa anakuwaje Msaada please matusi ayaitajiki
View ArticleNinahitaji nyanya nyingi sana directly from shambani
habari za wakati huu ndugu wana jamii. ninahitaji kununua nyanya nyingi sana moja kwa moja kutoka shabani kisha ninasambaza kwa wafanyabiashara wadogowadogo wa huku singida mjini. soko tayari ninalo...
View ArticleIpi tiba ya machungwa kupasuka mtini?
Habari zenu wakuu, mimi Nina shamba nje ya jiji la dar( Mkoa wa pwani) nimepanda michungwa ya kutosha eneo karibu lote! Kitu kilichafanya niombe ushauri ni kuwa Mchungwa unatoa matunda mengi tu, lakini...
View ArticleMikutano ya Kibiashara
MIKUTANO YA BIASHARA - Maonesho ya Saba Saba AgriProFocus Tanzania ikishirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tan Trade) inaandaa mikutano ya kibiashara itakayofanyika tarehe 2 hadi 6...
View ArticleKilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na masoko yake
Kwa mwana JF yeyote mwenye ujuzi na uzoefu wa kilimo cha viazi naomba anipe detail kuhusu kilimo hicho. Yaani kwa mfano, nikitaka kulima hekari moja natakiwa kuwa mtaji wa kiasi gani? Na vipi namna ya...
View ArticleZainab's Natural Super Clay
Tunatafuta wajasiriamali wa kununuwa na kusambaza Zainab's Natural Super Clay. Ukitaka kujuwa Zainab's Natural Super Clay ni nini, pitia hapa: Kwa Wanaume na Wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha...
View ArticleUandaaji na Uoteshaji wa Mbegu za Mitiki
Utangulizi Mbegu za mitiki zinapatikana Tanzania Tree Seed Agency wako Msamvu Morogoro.Kilo moja ya mbegu za mitiki inatosha kuotesha kwenye shamba la hekta moja, ambayo ni wastani... Uandaaji na...
View ArticleUfugaji wa kisasa wa samaki: Utaalamu na Masoko
Tujifunze kuhusu ufugaji wa samaki wa kisasa ambao hufanyika kwenye mabwawa ya kuchimbwa au visima na vitu vingine vinavofanana na hivyo. Kuna aina nyingi za samaki wa maji baridi ambao wanaweza...
View ArticleUshauri kuhusu kilimo cha mpunga
Nahitaj ushaur wenu.. . Ni shamba la ekari ngap naweza kutoa gunia 100 la mpunga au gunia 90 za mchele??
View ArticleBiashara ya kusaga, kupack na kusambaza unga
Wadau. Nimeisha anza mchakato wa hiyo kitu kwa maana ya jengo ambayo mi nimeiita phase one sasa ndo najipanga kuezeka. Phase two ni kununua machines ambazo ni full set kusaga na kukoboa pamoja na...
View ArticleNina toa ushauri kwenye kilimo cha alizeti, mbaazi, maharage na mahindi
Nawakaribisha wale wote wanaopenda kufahamu kuhusu, kilimo cha Alizeti, Mbaazi, Maharage, Mtama na Mahindi. Naomba tuwasiliane kupitia JamiiForums.
View ArticleBiashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa Tshs. 100,000/= tu?
Wataalam wa biashara naomben ushaur wa biashara nnyoweza kuifanya kwa mtaj wa lak 1.
View ArticleManufaa ya Ujasiliamali kwa njia ya mtandao
Mimi ni Mtanzania mjasiliamali mchoraji wa nembo (logo). Hapa nakuonesha baadhi ya kazi ambazo nimewafanyia wateja mbalimbali kutoka nje ya nchi katika kipindi kifupi. Hii ni changamoto kwa...
View ArticleSababu 14 kwanini biashara yako inahitaji kuwa na nembo, na vingine vya...
Sababu 14 kwanini biashara yako inahitaji kuwa na nembo na vingine vya kutafutia masoko. Leo nitatoa sababu chahche kwanini biashara yako inahitaji hivyo vyote ili ifanikiwe kibiashara. Ukiviangalia...
View ArticleJinsi ya kutengeneza dawa ya chooni 'Jasimini"
Heshima kwenu wadau. Naomba masada wenu kama kuna yeyote anayejua jinsi ya kutengeneza JASIMINI ile ya kusafishia chooni. _natanguliza shukrani
View ArticleUnataka kuwa tajiri? - Mwongozo kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji
Pengine umekuwa ukiwaza sana nini ufanye ili uweze kufanikiwa na kuondokana na adha za umaskini. Yako mambo mengi ya kufanya mimi nataka kukufungua macho kwa jambo moja tu tena kwa uchache. Jambo hili...
View ArticleKilimo cha Dengu
Habari Wakuu Nilipitia maonesho ya nane nane mwaka huu na moja ya kilimo kilichonivutia ni kilimo cha Dengu na Conflower/Brocolli. Mazao haya yana soko kubwa sana nje ya nchi hasa India kwa Dengu na...
View Article