Habari zenu wakuu, mimi Nina shamba nje ya jiji la dar( Mkoa wa pwani) nimepanda michungwa ya kutosha eneo karibu lote!
Kitu kilichafanya niombe ushauri ni kuwa Mchungwa unatoa matunda mengi tu, lakini cha ajabu yanapoanza kukomaa yanapasuka katikati na kuanza kuoza, je Hii kitu kwanza inasababishwa na Nini? Pili je, tiba ya tatizo hilo ni Nini?
Naombeni tupeane uzoefu wakuu!