Habari Wakuu
Nilipitia maonesho ya nane nane mwaka huu na moja ya kilimo kilichonivutia ni kilimo cha Dengu na Conflower/Brocolli.
Mazao haya yana soko kubwa sana nje ya nchi hasa India kwa Dengu na ulaya/India kwa Conflower.
Kwa wale wazee wa kanda ya kati kuanzia Dodoma,Singida,Tabora hadi Shinyanga Dengu inakubali sana maeneo hayo sina uhakika na maeneo mengine ila nadhani Morogoro inaweza kukubali (I'm not sure) ni zao la muda mfupi.
Tuchangamkie hizi fursa ndugu zangu Tunapaswa kuwa...
Kilimo cha Dengu