Michungwa inayoweza kuzaa machungwa 4000 kwa kila mchungwa
habari wanaJF Nashkuru muda mrefu umepita tangu nitoe thread yangu ya kuhusu kilimo cha michungwa inayojulikana kwa "tathmini ya mapato ya michungwa" Nimekua nikipokea simu na message na e-mail kutoka...
View ArticleMradi wa utotoleshaji wa vifaranga unalipa
Kampuni yetu ya KINASORU EAST AFRICA (T) LTD iliitwa kwa ajili ya kumshauri mheshimiwa mmoja ambaye alikuwa na wazo la kufuga kuku wa asili walioboreshwa kama sehemu ya kazi yake ya ziada. Alitaka...
View ArticleNitumie viuatilifu gani kupalilia mahindi?
Wakuu habar za jioni! nahitaji msaada wa dharura kwa wenye uzoefu. Naomba kujulishwa ni aina gani ya kiuatilifu naweza tumia kupalili mahindi ambacho kinaangamiza ndago na nyasi?, nilitumia 2,4 D...
View ArticleZijue Mbinu zangu: Ufugaji Kuku wa Kienyeji
Wana Jf, Kuna maandiko mengi JF ya ufugaji Kuku wa Kienyeji! Nawasilisha kwenu wadau wa JF mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! Nimeandika kuwalenga...
View ArticleUshauri kuhusu Kilimo cha Umwagiliaji
Ndg wanajamvi, natumai hamjambo. Ninahitaji mshauri katika mambo ya kilimo cha umwagiliaji. Contact me via inbox. Karibu na asante sana, Josam
View ArticleMtaji wa million 3, kilimo cha mpunga.
Habari zenu wakuu. Modes naomba hii thread msiunganishe na nyingine nataka kujifunza kitu. kama mnavyojua wakuu kwa sasa ajira zimekuwa ngumu na hata ukipata hiyo ajira utaishia kupewa laki tano tu as...
View ArticleKilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko
Jamani habarini za wikiendi, naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi...
View ArticleNjoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja
Habari wakuu....... Itifaki imezingatiwa! Rejea kichwa hapo juu! Nianze na swali hili hivi ni biashara gani au kwa kiwango gani au kwa plan gani mfanyabiashara anaweza kurtengeneza pesa hiyo kuanzia...
View ArticleBiashara ya upandaji wa miti ya mbao
Mimi nigependa kuwahamasisha wanJF kupanda miti ya mbao hasa mbao nyeupe (pines and cypress). Miti hii inasitawi sana sehemu za nyanda za juu kusini. Mimi nilianza kupanda miti hii kama miaka kumi...
View ArticleGNLD SUPER GROW NDIO MKOMBOZI WA MKULIMA
Lima kibiashara kwa kutumia Super Grow. Unapotumia mbolea hii ya Super Grow hauna haja na kuhangaika na wadudu wanaoharibu mazao wala kutafuta mbole ya kukuzia. Na mazao yako huongezeka. Kwa mfano kama...
View ArticleMashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake,...
Habari zenu wanajamvini, Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga. Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana,...
View ArticleNahitaji msaada wa eneo la kufugia kuku
Salamu zenu wakuu! Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 26, nina Bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka jana (2015). Tatizo langu kubwa ni ajira nimeangaika sehemu...
View ArticleKilimo cha Pilipili Hoho
Habari wana waungwana? Naomba muongozo wa kilimo cha pilipili hoho kwa wenye uzoefu. Asanteni =============================== baraka607 said: ↑ Nna mchakato ambao nilipata wakati niko Kenya kwenye...
View ArticleMwenye taarifa ya soko la Hoho
Nahitaji Wateja wa ndani na nje niwauzie pilipili hoho,nina mzigo wa kutosha,kila wiki,na kila mwezi kwa muda wa mwaka Mzima kuanzia mwezi huu wa kwanza mpaka mwezi wa kwanza tena 2017. Kwa yeyote...
View ArticleNjia za kuwa na maisha bora
NJIA YA KUWA NA MAISHA BORA Njia moja ya uhakika ya kuwa na maisha bora ni kuyaelewa maisha kwanza. Bila ya kufanya hivyo utateseka sana na maisha haya. Bila ya kuelewa maisha kila mara utasema kwa...
View ArticleNahitaji Mtaalamu wa Kuchora Ramani ya Mabanda ya Kuku
Habari Wanajukwaa! Nahitaji ramani ya ujenzi wa mabanda ya kuku. Idadi ya kuku ni Elfu Tatu (3,000). Ramani hiyo iwe na sehemu ya kuweka incubators mbili zenye uwezo wa kutotoa mayai 13,000. Iwe na...
View ArticleNahitaji Mtaalamu wa Kuchora Ramani ya Mabanda ya Kuku
Habari Wanajukwaa! Nahitaji ramani ya ujenzi wa mabanda ya kuku. Idadi ya kuku ni Elfu Tatu (3,000). Ramani hiyo iwe na sehemu ya kuweka incubators mbili zenye uwezo wa kutotoa mayai 13,000. Iwe na...
View ArticleUshauri kuhusu biashara ya Nafaka
Habarin ndugu zangu me ni mfanya biashara nafanya biashara ya nafaka na kukufikia popote ulipo na pia kwa ushaur wa biashara ya nafaka pls contact me thru +255719553454/ +255787607207 / +255758909041...
View ArticleKwa nini Nyanya chungu (Ngogwe) ni zao lisilovuma?!
Linapokuja suala la ujasiliamali ni mazao yenye majina makubwa tu kama matikiti, vitunguu na Tomato hutajwa! Nyanya chungu ni zao lisilovuma sana japo linawatoa sana wakulima na linawalaji wengi sana....
View ArticleMwenye shamba lisilolimwa maeneo ya Kigamboni naomba tuonane nimsaidie...
Wadau habari zenu, natumai nyote hamjambo kabisa. Mimi ni mkazi wa huku kigamboni, ni kijana na nina familia. nina wazo ambalo naona linaweza kufanya kazi. Kama kuna mtu mwenye shamba maeneo ya...
View Article