Linapokuja suala la ujasiliamali ni mazao yenye majina makubwa tu kama matikiti, vitunguu na Tomato hutajwa! Nyanya chungu ni zao lisilovuma sana japo linawatoa sana wakulima na linawalaji wengi sana. Nyanya chungu mfano aina maarufu kama YEBOYEBO ni zao linalonivutia sana kwa sifa zifuatazo:
1. Afrika ni nyumbani kwao linazaa sana hata wakati wa joto kali ambapo kwa tomato na hoho hubabuka sana kwa jua
2. Tomato na Hoho hupunguza sana kutoa maua na matunda kwenye joto kali YEBO YEBO hupeta...
Kwa nini Nyanya chungu (Ngogwe) ni zao lisilovuma?!