Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Mwenye shamba lisilolimwa maeneo ya Kigamboni naomba tuonane nimsaidie kulitunza.

$
0
0
Wadau habari zenu, natumai nyote hamjambo kabisa.

Mimi ni mkazi wa huku kigamboni, ni kijana na nina familia. nina wazo ambalo naona linaweza kufanya kazi.

Kama kuna mtu mwenye shamba maeneo ya kigamboni lakini ameliacha bila kulifanyia chochote kwa muda huku akisubiri mambo yake yakae sawa naomba tuonane tuandikishane mimi niwe mtunzaji wa shamba huku nikilitumia kupata chochote.

Najua wapo watu wenye maeneo yao wamewekeza na wanasubiri mambo yao yakae sawa ndo waendeleze. nitalitunza...

Mwenye shamba lisilolimwa maeneo ya Kigamboni naomba tuonane nimsaidie kulitunza.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>