Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Nahitaji Mtaalamu wa Kuchora Ramani ya Mabanda ya Kuku

$
0
0
Habari Wanajukwaa!

Nahitaji ramani ya ujenzi wa mabanda ya kuku. Idadi ya kuku ni Elfu Tatu (3,000). Ramani hiyo iwe na sehemu ya kuweka incubators mbili zenye uwezo wa kutotoa mayai 13,000. Iwe na sehemu ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku, iwe na ofisi, stores na facilities zingine. Biosecurity izingatiwe. Ukubwa wa eneo ni hekari moja, lakini linaweza likaongezeka hadi hekari mbili.

Nawasilisha

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>