Natafuta mshauri wa kilimo hapa DSM tutalipana kwa makubaliano maalum
HELO HABARI WAJASIRIAMALI WENZANGU Nataka kuanza kilimo cha mazao kadhaa especialy ya matunda kama maembe, mapapai na ya mboga mboga kama bamia, pilipili, nyanya etc sasa sitaki kutumia kilimo cha...
View ArticleMazao ya kulima kwa mkoa wa Kilimanjaro
Habari, waheshimiwa naomba msaada kwa wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro natarajia kuhamia mkoani humo kwenye mwezi wa 5. Naomba kujua mazao yanayolimwa katika mkoa huo pamoja na upatikanaji wa mashamba....
View ArticleTushauriane kuhusu water pump
Mimi ni mdau wa kilimo, naomba mwenye uelewa na kama picha ipo tupia hapa, lengo la kuanzisha maada ni kurahisisha kupatikana kwa taarifa muhimu kuhusu water pump hivyo inaweza kuhamasisha vijana...
View ArticleHii ni njia gani ya uvuvi?
Jamani huyu Msela anavua kwa kutumia nn hapo? Binafsi nimeshindwa kuelewa!!!!!!!
View ArticleMashine ya kumwagilia isiyotumia umeme
wanajamvi habarini.. nimeanzisha bustani ya mbogamboga ila changamoto nnayoipata ni katika umwagiliaji kwani maji ya kumwagilia nayachota kisimani (bustani inahitaji kama ndoo 100 kwa siku). hivyo...
View ArticleKilimo cha Mihogo(Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake
Wakuu, Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi. Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo yafuatayo: 1....
View ArticleKilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na masoko
Wakuu salamu. Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji....
View ArticleNina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?
Salaams Wapendwa wangu,,....!! Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!! Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!! Mimi ni mwanamke...
View ArticleUshauri kuhusu kilimo cha bamia
Habari wadau, natamani sana kulima Bamia ila sijui hali yake kisoko. Naomba ushauri wenu ndugu zangu. Na ikiwa unalo wazo mbadala la zao zuri la kilimo linalokomaa na kuuzika kwa mda mfupi usisite...
View ArticleNina toa ushauri kwenye kilimo cha alizeti, mbaazi, maharage na mahindi
Nawakaribisha wale wote wanaopenda kufahamu kuhusu, kilimo cha Alizeti, Mbaazi, Maharage, Mtama na Mahindi. Naomba tuwasiliane kupitia JamiiForums.
View ArticleMsaada wapi naweza kupata vifaranga vya samaki
Habari za mihangaiko ndugu zangu. Naombeni msaada wenu ndugu zangu kwenye kajishamba changu ninavibwawa viwili nahitaji kuweka samaki, moja niweke kambale na jingine niweke sato, hivyo naomba kupata...
View ArticleMsaada wa ushauri kuhusu kilimo cha mapapai na mbogamboga
Wanajanvi habari zenu, nina ndugu yangu anataka kuanzisha kilimo cha kisasa cha mboga mboga na matunda hasa mapapai, ameshaanza kuchimba kisima kirefu kwa ajili ya umwagiliaji, swali langu ni kuomba...
View ArticleWater Sprinklers
Kwa wakazi wa Dar naomba kujuzwa nitapata wapi water sprinklers kwa ajili ya kumwagilia shamba la 10 acres, nazingatia ubora zaidi. Asante
View ArticleNjoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja
Habari wakuu....... Itifaki imezingatiwa! Rejea kichwa hapo juu! Nianze na swali hili hivi ni biashara gani au kwa kiwango gani au kwa plan gani mfanyabiashara anaweza kurtengeneza pesa hiyo kuanzia...
View ArticleMichungwa inayoweza kuzaa machungwa 4000 kwa kila mchungwa
habari wanaJF Nashkuru muda mrefu umepita tangu nitoe thread yangu ya kuhusu kilimo cha michungwa inayojulikana kwa "tathmini ya mapato ya michungwa" Nimekua nikipokea simu na message na e-mail kutoka...
View ArticleWafugaji wa kuku msaada
Wafugaji wa kuku ninaomba msaada wa haraka kuku wangu wanateketea. Naomba mnisaidie tiba ya ugonjwa wa kwenye picha
View ArticleSoko la uhakika la uyoga
Wadau Heshima kwenu, Nimevutiwa sana na kilimo cha uyoga na nimeamua nianze rasmi lakini kabla sijaanza nataka kuwa na uhakika na masoko yake hapa nchini, Tafadhali mwenye taarifa za masoko anijuze...
View ArticleKilimo cha Pilipili Hoho
Habari wana waungwana? Naomba muongozo wa kilimo cha pilipili hoho kwa wenye uzoefu. Asanteni =============================== baraka607 said: ↑ Nna mchakato ambao nilipata wakati niko Kenya kwenye...
View ArticleKumuasi mbwa (Castration)
Kumfanyia mbwa Castration (kumtoa mbegu) inasaidia mbwa kuwa mkali au ndio atakuwa mpole akiona mbwa wengi. Mwenye kujua na ambaye kashamuona mbwa mwenye kuasiwa anakuwaje Msaada please matusi ayaitajiki
View Article