$ 0 0 Kwa wakazi wa Dar naomba kujuzwa nitapata wapi water sprinklers kwa ajili ya kumwagilia shamba la 10 acres, nazingatia ubora zaidi. Asante