Nitapata wapi Tractor la kukodisha.
Nipo mwanza ninahitaji kutengeneza shamba la kama heka 3. Ningependa kulima kwa tractor. Wadau nisaidie hapa Mwanza maeneo ya Nyegezi tractor nitapataje?
View ArticleMsaada wa ushauri unatosha kuniokoa katika hili
Habari za majukumu wapendwa! Nahitaji kupata ushauri wenu wa kimawazo nimenunua eneo dogo tu lenye urefu wa mita 54 na upana wa mita 24 nahitaji kufanya kilimo cha kisasa cha mbogamboga au matunda eneo...
View ArticleMwenye taarifa ya soko la Hoho
Nahitaji Wateja wa ndani na nje niwauzie pilipili hoho,nina mzigo wa kutosha,kila wiki,na kila mwezi kwa muda wa mwaka Mzima kuanzia mwezi huu wa kwanza mpaka mwezi wa kwanza tena 2017. Kwa yeyote...
View ArticleNahitaji Mtaalamu wa Kuchora Ramani ya Mabanda ya Kuku
Habari Wanajukwaa! Nahitaji ramani ya ujenzi wa mabanda ya kuku. Idadi ya kuku ni Elfu Tatu (3,000). Ramani hiyo iwe na sehemu ya kuweka incubators mbili zenye uwezo wa kutotoa mayai 13,000. Iwe na...
View ArticleMsaada, nataka kuanza ufugaji wa kuku with low capital.....!!!!
Salaam wakuu, Habari zenu? Kwa kifupi nimejichanga visenti kidogo kama Tshs.300,000/= kwaajili ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nina uhakika hazitoshi lakini naomba msaada wenu labda nianze na...
View ArticleSingida: Shamba la eka moja linahitajika
Hi Jf members,ninatafuta shamba la heka moja tu lililopo nje ya mji wa singida,liwe eneo linaloweza kufikika kwa urahisi mfano eneo la Mwembe mmoja na Mandewa.
View ArticleBiashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa Tshs. 100,000/= tu?
Wataalam wa biashara naomben ushaur wa biashara nnyoweza kuifanya kwa mtaj wa lak 1.
View ArticlePata ushauri, michango, mawazo juu ya Ufugaji wa Samaki
Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato,...
View ArticleMayai ya kuku wa kienyeji yanapatikana
Mayai ya kuku wa kienyeji yanapatikana kwa wingi.Trei moja yenye mayai 30 tunauza shilingi za kitanzania elfu 15 tu.Agiza na uletewe popote ulipo ndani ya Dar es Salaam. 0788-407407
View ArticleKUBADILISHANA KITUO CHA KAZI
Natafuta mtu yeyote anayefanya kazi Mikoa ya nyanda za juu kusini ili tubadilishane vituo. Mimi niko Tarime (H/Mji) kama afisa Mifugo .
View ArticleUandaaji na Uoteshaji wa Mbegu za Mitiki
Utangulizi Mbegu za mitiki zinapatikana Tanzania Tree Seed Agency wako Msamvu Morogoro.Kilo moja ya mbegu za mitiki inatosha kuotesha kwenye shamba la hekta moja, ambayo ni wastani... Uandaaji na...
View ArticleUfugaji Nyuki wa Kisasa
Wadau Wa Ufugaji Nyuki. Naombeni Ushauri Wa Kitalaamu Juu Ya Ufugaji Nyuki Na Uvunaji Wake Kwa Njia Za Kisasa. Pia Mnijuze Bei Ya Mzinga Mmoja Wa Kisasa Kwa Ajili Ya Kufugia Nyuki Ni TSh. Ngapi?
View ArticlePata ushauri wa kitaalam juu ya kilimo cha Mapapai
Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo 1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa? 2....
View ArticleKuku wangu hawatagi, tatizo ni jogoo?
Wadau za wikiend? Nina shida naomba msaada wenu please, Hivi karibuni nimeamua nami kufuga kuku hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya kujiongezea kipato pia hata kula nyumbani. Kwa kua ndio mara yangu ya...
View ArticleBiashara ya Juice ya miwa
Niliwahi kuishi Tanga kipindi flani hapo nyuma, nilikua kikazi huko takribani miezi kama mi 5 hivi. Kuna sehemu 1 jamaa amefungua kijisehemu chake ana saga juice ya mua, jinsi alivyo kua ana pokea hizo...
View ArticleBiashara ya juice original ya matunda
Ndugu wanajamii forum, Kwanza natoa pongezi kwa jukwaa hili la wajasiliamali. Mimi ni mdada mwajiliwa tayari ila ninapenda sana kujiajili ama kuwa na kibiashara changu pembeni kinachoniingizia hela kwa...
View ArticleWajasiliamali pitieni hapa
Habari za leo wapendwa, Natumaini wote mu wazima. Ndugu zangu naombeni elimu kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji na dawa zake 1] Hivi kuna dawa za kuzuia magonjwa kabisa? 2]Kama zipo zinaitwaje? 3]Je...
View ArticleNaomba muongozo wa kufuga nguruwe, nipo Dar
Naomba kusaidiwa mwongozo nataka kufuga nguruwe. Nipo dar mradi nitafanyia boko nimebakisha laki tano tu, banda nimeshajenga. Nimesoma threads za nyuma sijapata mwongozo. Asanteni sana.
View Article