Wadau Heshima kwenu,
Nimevutiwa sana na kilimo cha uyoga na nimeamua nianze rasmi lakini kabla sijaanza nataka kuwa na uhakika na masoko yake hapa nchini,
Tafadhali mwenye taarifa za masoko anijuze
asanteni