Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Mashine ya kumwagilia isiyotumia umeme

$
0
0
wanajamvi habarini..

nimeanzisha bustani ya mbogamboga ila changamoto nnayoipata ni katika umwagiliaji kwani maji ya kumwagilia nayachota kisimani (bustani inahitaji kama ndoo 100 kwa siku).

hivyo nilikua naomba msaada wenu wa aina ya mashine(pump) isiyotumia umeme inayoweza kunisaidia kutoa maji kisimani

NB
iwe ya gharama nafuu.

Natanguliza shukrani.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>