Kampuni yetu ya KINASORU EAST AFRICA (T) LTD iliitwa kwa ajili ya kumshauri mheshimiwa mmoja ambaye alikuwa na wazo la kufuga kuku wa asili walioboreshwa kama sehemu ya kazi yake ya ziada. Alitaka apate mwongozo wa kitaalam namna gani anaweza kutengeneza pesa kupitia ufugaji wa kuku hao.
Kitu cha kwanza tulimuuliza, anashilingi ngapi kama mtaji alioandaa kwa ajili ya mradi wake. Mheshiwa akasema ana Milioni 50. Tukamwambia tunatambua unapenda sana kufuga lakini kwasababu umetuita, tunaomba...
Mradi wa utotoleshaji wa vifaranga unalipa