Salamu zenu wakuu!
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 26, nina Bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka jana (2015). Tatizo langu kubwa ni ajira nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta ajira lakini mpaka sasa kimya tu hapa nilipo sina hata kazi yoyote ya kuniingizia kipato wala sehemu ya kuishi hivi sasa nimehifadhiwa kwa rafiki yangu kwa muda tu, mke wake akirudi nitaondoka.
Kutokana na changamoto za maisha zinazoendelea kunikabili nimepata wazo la...
Nahitaji msaada wa eneo la kufugia kuku