Habari zenu wakuu.
Modes naomba hii thread msiunganishe na nyingine nataka kujifunza kitu.
kama mnavyojua wakuu kwa sasa ajira zimekuwa ngumu na hata ukipata hiyo ajira utaishia kupewa laki tano tu as a net salary. Sasa katika pitapita zangu nikaotea kama ka millioni tatu hivi.
Nimeamua kuingia katika kilimo kwa kuwa kilimo nahisi ndo utajiri japo inabidi ukomae hasa, na mimi nimeshajitoa, na kilimo nilichoona kinafaa kwa kuanzia ni mpunga kwa kuwa...
Mtaji wa million 3, kilimo cha mpunga.