Wakuu nataka kufanya ujasiliamali wa kilimo , ila sina mwenyeji ruvu nataka kuanza na kukodi shamba ili nilime tikiti maji na mboga mboga any idea zitakazosaidia ,
Contact za mwenyeji yoyote kule asanteni
Contact za mwenyeji yoyote kule asanteni