Naomba ushauri jinsi ya kuanzisha shamba dogo la kilimo cha mpunga; maelezo yangu ya awali ni kama ifuatavyo
Makadirio ya mradi wa kilimo cha mpunga
- lengo ni kujiongezea kipato
- eneo ni eka 2.5
- aina ya mbegu : za muda mfupi zinazonukia , kwa ajili ya kuvutia wateja
- aina ya kilimo : ningependa kununua pampu ya kutumia petrol/diesel ili niongezee maji wakati pakiwa na upungufu wa mvua; niwe namwagilia ndani ya vijaruba vidogo; naomba pia ushauri kuhusu aina ya pampu
- nitaajiri kibarua 1; atafanya kazi za...
Makadirio ya mradi wa kilimo cha mpunga