Habari wakuu.
Ninatafuta soko la choroko la uhakika au wanunuzi wa choroko wanaopatikana kanda ya ziwa, mimi niko Bariadi na nalima ekari sita za choroko, naomba pia mwenye ujuzi wa bei. Yaani kilo moja ya choroko inauzwa shilingi ngapi sokoni?
Asanteni...
Wenu katika ujasirimali