Wakuu nimefarijika sana kutembelea site hii ya business! Mimi nimekuwa natembelea sana jukwaa la siasa na lazima niseme ukweli ilifika kipindi nikaachana na jamii forums. Leo nimefarijika sana kuja huku na kukutana na wana JF ambao wana new ideas na bado hamjakuwa corrupted na wanasiasa. Sasa naimba ushauri kuhusu kilimo cha mazao ya muda mfupi maeneo ya Fukayosi Bagamoyo, nimeamua kuwa mkulima but bado sina details nyingi za kilimo cha mazao ya muda mfupi maeneo ya fukayosi na maeneo ya...
Nimefarijika sana na site hii, naomba ushauri wa mazao ya muda mfupi Fukayosi!
Nimefarijika sana na site hii, naomba ushauri wa mazao ya muda mfupi Fukayosi!