Nipo mwanza ninahitaji kutengeneza shamba la kama heka 3. Ningependa kulima kwa tractor. Wadau nisaidie hapa mwanza maeneo ya nyegezi tractor nitapataje?
↧