Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Ufugaji na kilimo unalipa sana

$
0
0
Wana JF,

Nimeona mm pia nitoe testimonial kwa faida ya wajasiriamali wanaopenda kilimo na ufugaji.

Ndoto yangu imekuwa kutafuta ujasiriamali utakaoniwezesha kuachana na ajira at 40 yrs. Baada ya kujaribu biashara mbalimbali nikagundua kuwa faida zilizopo kwenye kilimo na ufugaji ni kubwa mno especially kama una kamtaji ka kuanzia kapo. Nikaanza kutafuta mashamba. Nikapata kadhaa ila hili la Maseyu ndilo hasa linazaa matunda. Kwa wale wanajua Morogoro road, hicho kijiji kipo baada ya...

Ufugaji na kilimo unalipa sana

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>