Habar wapendwa
Samahan naomba kujua ufugaji wa ngurue na malazi yao mkubwa na matibabu ya.
Pamoja na ufugaji wa kuku wakienyeji yaaan
jinsi ya kumnyang`ang`a vifaranga vikiwa vina umri gani
naitwa moi mwakye kutoka mbeya