Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Ushauri, kilimo cha kitunguu swaumu

$
0
0
Hello comrades
Naomba ushauri kwa yeyote mwenye utaalamu au uzoefu wa hiki kilimo
Baada ya kuona fursa kwenye kilimo cha vitunguu swaumu, nilishawishika kuanza kulima. Baada ya uchunguzi wa awali kuhusu aina ya udongo, tabia nchi na upatikanaji wa maji, nilitafuta na kupata shamba maeneo ya Tunduma ambalo lilikuwa na sifa zinazotakiwa kwa kilimo cha vitunguu. Nilianza maandalizi ya shamba, na nikaamua kupanda kwa batches, na batch ya kwanza vimeshatoka, vina wiki ya tatu. Kuna issue moja...

Ushauri, kilimo cha kitunguu swaumu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>