Moja ya kitu kinachohitajika sana na wakazi wa mijini na vijijini ni mboga za majani (green vegetables) kama chinese, figili, mchicha, mnafu, mboga za maboga, matembele nk. Mboga za majani zinahitajika pia kwenye taasisi kama shule za bweni, mahotelini, nk. Bahati mbaya sana uchunguzi unaonesha mboga za majani zinazalishwa katika mazingira duni hivyo kuzifanya zisiwe na mvuto kwa wanunuaji/walaji. Yaani walaji wanakosa mboga zenye kiwango bora kama wanavyohitaji. Hali ipo pia hapa Iringa...
Naombeni ushauri kuhusu Biashara na Kilimo cha bustan ya mboga majani
Naombeni ushauri kuhusu Biashara na Kilimo cha bustan ya mboga majani