Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Msaada: Nataka kuwa Mkulima

$
0
0
Za asubuhi ndugu zangu, natumaini mmeamka salama,
Mimi ni kijana wa kiume nahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo nahisi ndo kitu ambacho kitanifanya nifikie malengo yangu, nimeajiriwa lakini kila kukicha naona sifiki pale ninapopataka na akili yangu inawaza kilimo tu, natamani nilime mazao aina tatu, nayo ni VITUNGUU,TIKITI MAJI NA NYANYA lakini kwa njia ya GREENHOUSE, nimeulizi gharama za greenhouse nimeambiwa ni TSH.million 5 ikijumuisha kuchimbiwa kisima,Pampu ya kuvuta maji n.k,...

Msaada: Nataka kuwa Mkulima

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>