Mafunzo ya kilimo cha matikiti na Kilimo Joint Tanzania
Kilimo Cha Tikiti. Je unataka kujitunza kuhusu kilimo cha matikiti? wasiliana nasi kwenye Whatsapp namba 0683556677 Kwa ada ya shilingi elfu mbili tu uweze kuunganishwa kwenye group. Kumbuka ada hii ni...
View ArticleUandaaji na Uoteshaji wa Mbegu za Mitiki
Utangulizi Mbegu za mitiki zinapatikana Tanzania Tree Seed Agency wako Msamvu Morogoro.Kilo moja ya mbegu za mitiki inatosha kuotesha kwenye shamba la hekta moja, ambayo ni wastani... Uandaaji na...
View ArticleBiashara ya Ufugaji wa Kuku wa kienyeji na Masoko yake
Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje. Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc. By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila...
View ArticleNjoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja
Habari wakuu....... Itifaki imezingatiwa! Rejea kichwa hapo juu! Nianze na swali hili hivi ni biashara gani au kwa kiwango gani au kwa plan gani mfanyabiashara anaweza kurtengeneza pesa hiyo kuanzia...
View ArticleUfugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania
Naomba mwenye kujua nitapoweza kupata vifaranga wa kienyeji aina ya kuchi. Nahitaji kama 40.
View ArticleMashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake,...
Habari zenu wanajamvini, Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga. Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana,...
View ArticleUnataka kuwa tajiri? - Mwongozo kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji
Pengine umekuwa ukiwaza sana nini ufanye ili uweze kufanikiwa na kuondokana na adha za umaskini. Yako mambo mengi ya kufanya mimi nataka kukufungua macho kwa jambo moja tu tena kwa uchache. Jambo hili...
View ArticleNatafuta mbegu bora ya Mbuzi na Ng'ombe chotara wa nyama
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba tuwasiliane kwa namba hii 0629141259
View ArticleUfugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji
Wadau, Poleni kwa kazi. Nina maswali mawili ambayo ninaomba mnisaidie 1. Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kanuni za ufugaji bora wa Sungura katika maeneo ya joto kama DSM. Nimevutiwa sana na ufugaji huu,...
View ArticleKilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na masoko
Wakuu salamu. Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji....
View ArticleZijue Mbinu zangu: Ufugaji Kuku wa Kienyeji
Wana Jf, Kuna maandiko mengi JF ya ufugaji Kuku wa Kienyeji! Nawasilisha kwenu wadau wa JF mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! Nimeandika kuwalenga...
View ArticleKama wwe ni mjasiriamali, hili hutolipita!!
Habari ndugu. Kuna jambo la msingi ninapaswa kukujuza. Tumeunda group la wajasiriamali la telegram coz tuliunda la whatsapp na lilijaa so tumehamia telegram inayochukua watu wengi zaidi na hakika watu...
View ArticleKama wewe ni mjasiriamali, hili hutolipita!!
Habari ndugu. Kuna jambo la msingi ninapaswa kukujuza. Tumeunda group la wajasiriamali la telegram coz tuliunda la whatsapp na lilijaa so tumehamia telegram inayochukua watu wengi zaidi na hakika watu...
View ArticleMsaada wa Vifaranga vya Kuku wa Mayai
Wadau, Salaam, Naomba msaada wa jinsi ya kupata vifaranga vya kuku wa mayai. Mimi nipo Dar Es Salaam, natanguliza shukrani za dhati.
View ArticleHii Ndio Namna Bora ya kuanza Mradi wa Nguruwe
Kwa kuwa nna uzoefu wa kuendesha mradi wa nguruwe kwa mafanikio,watu wengi huulizia watoto wa nguruwe(piglets) kwa ajili ya kuanza mradi huo.Lakini hiyo sio namna nzuri kiuchumi.Namna sahihi kama...
View ArticleUshauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake
MIGOMBA - KANUNI ZA KILIMO BORA Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya...
View ArticleMASHAMBA MOROGORO
Nauza shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni
View ArticlePata ushauri wa kitaalam juu ya kilimo cha Mapapai
Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo 1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa? 2....
View ArticleMashine ya kumwagilia ile ya kurusha maji juu....
Wadau nalima tikiti maji kanda ya ziwa..ziwani kabisa nategemea kiwe cha umwagiliaji ....heka tatu...changamoto iliyopo namwagiliaje ....water pump ya kawaida naona itakuwa kazi sana.....nimewaza ile...
View Article