Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo
1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa?
2. Nikitaka kupanda spacing iwe kiasi gani toka mche hadi mche?
Asanteni sana hii ni katika kuhangaika kuongeza kipato maana hii nchi ukizubaa ukajikuta unanyong'onyea sana kwa...
Pata ushauri wa kitaalam juu ya kilimo cha Mapapai