Wadau,
Poleni kwa kazi. Nina maswali mawili ambayo ninaomba mnisaidie
1. Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kanuni za ufugaji bora wa Sungura katika maeneo ya joto kama DSM. Nimevutiwa sana na ufugaji huu, ila kuna jambo moja ambalo bado sijalipatia ufumbuzi. Hivi kwa hapa Tanzania soko la Sungura lipo wapi hasa?
2. Kuna huyu mtu anaitwa Bennet (anamiliki Mitiki blog), ana info nzuri sana za kilimo. Kuna yeyote anayeweza kuniunganisha nae? Nimejaribu sana kumtumia e mail kwa e mail yake...
Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji