Wewe ni mfugaji? Uliza swali lolote la kitaalam nikusaidie
We ni mfugaji na una swali lolote la kitaalamu linakutatiza uliza. Asante.
View ArticleNatafuta soko la vitunguu
Kwa anaehitaji vitunguu ananichek, ni kama gunia 50 red onions nipo moshi vimekomaa vizuri shambani tayari kwa kuvunwa, Mawasiliano 0767525054 bei maelewano.
View ArticleKilimo na Soko la Bamia
Mwenye kufahamu ufanisi wa hiki kilimo atujuze mambo yafuatayo: 1) Mbegu bora zinapatikana wapi? 2) Zinachukua muda gani kukomaa? 3) Masoko yake yako wapi? 4) Bei ya kuuza inakwendaje? Asanteni.
View ArticleJe wazo langu hili likoje?
Mambo vp wana Jf? Mtu mmoja alisema kila kitu hapaduniani kishafanywa ila wewe fanya lakini fanya kwa uzuri yaani “DO IT BETTER” Siku moja niliamua kwenda gulioni kununua Shuka kwa ajili yakutandika...
View ArticleJiunge nasi on Whatsapp Tangaza Business Solutions
Habari zenu Wakuu jukwaani: Napenda kuwakaribisha Wadau wote mlio Jamii Forum kujiunga nasi on Whasapp ktk group la Wajasiriamali, Wafanyabiashara na Wadau wengine mbali mbali Whatsapp on Tangaza...
View ArticleTathmini Ubora huu Kabla ya Kunipa kazi na Kupata Ofa Kibao za Bure
Kwa Kila kazi moja ya kutengeneza Logo au Package Design utakayofanya na mimi Utapata offer ya bure ya 1. Proforma Invoice Templat 2. Tax Invoice Template 3. Delivery note template 4. Headed Paper...
View ArticleMsaada kuhusu vifaranga vya kuku wa kienyeji
wana jf poleni na mihangaiko ya maisha na natumaini nyote wazima. Naomba msaada mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaranga vya kuku wa kienyeji au machotara(nasikia nao wanafafana kitabia na wa...
View ArticleUshauri mashamba ya miti??
Nina wazo la kuinvest kwenye mashamba ya miti ya mbao au milingoti, mwenye uzoefu kwenye sekta hii naomba ushauri namna ya kuanza, gharama za mwanzo hasa kwa anaenza small scale maeneo ya iringa na...
View ArticleMsaada wa wauzaji wa standing freezer
Habari, nimefanya biashara ya barafu kwa fridge za home naona zimenikolea. Sasa mwaka huu nataka kutanua biashara ninunue standing freezer. Je kama kuna MTU anayauza/ au anafahamu brand nzuri? Nb....
View ArticleFahamu biashara ya rifaro
Habari <br />Watu wengi wanasikia hii company lakini hawaifahamu ..wengi husema ni deci wengi husema ni utapeli lakini hakuna ukweli juu ya hayo yote sasa ni wakati wako Wa kupata Fursa ya...
View ArticleMtaji wa milioni 1-5: Naweza kufanya Biashara gani?
Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani...
View ArticleNATAFTA GARI YA KUNUNUA USED
Natafta gari ya kununua toyota carina t.i. Au Escudo ila namba yake usajil tz ianzie na C au D.
View ArticleKilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko
Jamani habarini za wikiendi, naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi...
View ArticleVitabu Hivi Vya Kilimo Vinatafutwa..!
Wakuu habari ya leo, Naomba anayejua au aliyenavyo vitabu vya kilimo cha. -kitunguu -nyanya chungu -Pili pili Anielekeze vinakopatikana au ani PM tuongee Biashara kama anavyo
View ArticleJifunze kutengeneza sabuni
Ili iitwe sabuni inatakiwa -Ngumu kuiisha -Yenye povu jingi -Nyeupe VIAMBATA VYA kutengenezea sabuni 1)Mafuta-mawese,mise,wanyana 2)Maji 3)Caustic soda(costiki soda) VIFAA VYA KUTENGENEZEA -Ndoo za...
View ArticleNataka kununua shamba Rufiji
Ndugu.wasalaam.. Mimi ni kjana ambae natafuta maisha kupitia kilimo. Ndugu wanajamiiforum nmekuja hapa kwenye hii forum kuulizia mwenye information ya kupata mashamba huko Rufiji na wanauzaje kwa heka....
View Articleupandaji wa miti
Wakuu habari Kwa anaehitaji shamba kwa ajili ya kupanda miti mkoani iringa wilaya ya mufindi mashamba yapo yanapatikana kwa bei 130000 mpaka 120000 kwa ekari moja kutokana na eneo shamba lilipo...
View ArticleBiashara ya upandaji wa miti ya mbao
Mimi nigependa kuwahamasisha wanJF kupanda miti ya mbao hasa mbao nyeupe (pines and cypress). Miti hii inasitawi sana sehemu za nyanda za juu kusini. Mimi nilianza kupanda miti hii kama miaka kumi...
View ArticleKumuasi mbwa (Castration)
Kumfanyia mbwa Castration (kumtoa mbegu) inasaidia mbwa kuwa mkali au ndio atakuwa mpole akiona mbwa wengi. Mwenye kujua na ambaye kashamuona mbwa mwenye kuasiwa anakuwaje Msaada please matusi ayaitajiki
View ArticleNahitaji Majogoo ya Kisasa ili Nipate Vifaranga Chotara
Habari wakuu, Nahitaji majogoo wa kisasa ili wapande kuku wa kienyeji kupata vifaranga chotara. Kwa mwenye nao hasa maeneo ya Mwanza anijulishe tafadhali ili niweze kununua kutoka kwake.
View Article