Nina wazo la kuinvest kwenye mashamba ya miti ya mbao au milingoti, mwenye uzoefu kwenye sekta hii naomba ushauri namna ya kuanza, gharama za mwanzo hasa kwa anaenza small scale maeneo ya iringa na tanga please nijuze
↧